Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 3,198
- 4,191
Msimbazi,KisutuKaribu lusonga hapa, upo wapi wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimbazi,KisutuKaribu lusonga hapa, upo wapi wewe?
PamojaaaNasmile home boy nimekupata..
Pamoja mkuuMsalimie thomas majestic, mwambie salam kutoka Mwanza
Andoya Tajiri wetu alisha R.I.PNiliweka kufika huko hadi kijiji kimoja hiv kinaitwa lifakara.....tulikua tunatembelea mladi wa kuzalisha umeme wa andoya Kama sijasahau.......aisee huko ni kama dunia ya zamani yan pametulia miti ya kutosha
Jaman RIP iende kwake, so kabaki mkewe na vijana wakeAndoya Tajiri wetu alisha R.I.P
Yah..Jaman RIP iende kwake, so kabaki mkewe na vijana wake
Niliweka kufika huko hadi kijiji kimoja hiv kinaitwa lifakara.....tulikua tunatembelea mladi wa kuzalisha umeme wa andoya Kama sijasahau.......aisee huko ni kama dunia ya zamani yan pametulia miti ya kutosha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hatar eeehDuh bora hapo wengne tupo mbele ya hapo lifakara kunaitwa mpepai ukienda unaweza jua awaishi watu
Noma Tanzania nchi kubwa sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hatar eeeh
Namuomba mwenyej wa songeaNoma Tanzania nchi kubwa sana