KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Jan 6, 2024 #41 kmp said: Nakumbuka enzi za Mwl. Mwakas... alitutandika sana viboko. Pia,zile bustani za mboga kule chini karibu na mto. Pia nakumbuka kulikuwa na stream mbili ABC na LMN. Waliokuwa A na L ni science one. Click to expand... Si useme tu Mwalimu Mwakasala Mzee wa kuntu kumu
kmp said: Nakumbuka enzi za Mwl. Mwakas... alitutandika sana viboko. Pia,zile bustani za mboga kule chini karibu na mto. Pia nakumbuka kulikuwa na stream mbili ABC na LMN. Waliokuwa A na L ni science one. Click to expand... Si useme tu Mwalimu Mwakasala Mzee wa kuntu kumu
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Jan 6, 2024 #42 Ambao hatujawahi kupiga piga umande tunasoma tu comments