Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,697 Reaction score 15,497 Nov 10, 2024 #1 Wakubwa natarajia kuhamia huko soon. Naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri Kwa binti yangu wa darasa la tano. Iwe shule ya kutwa, natanguliza shukrani.
Wakubwa natarajia kuhamia huko soon. Naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri Kwa binti yangu wa darasa la tano. Iwe shule ya kutwa, natanguliza shukrani.
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,697 Reaction score 15,497 Nov 11, 2024 Thread starter #2 Jamani ndo kusema humu hakuna wadau wa Mbezi Magohe?!
Twilumba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 12,576 Reaction score 14,522 Nov 11, 2024 #3 Zamaulid said: Wakubwa natarajia kuhamia huko soon. Naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri Kwa binti yangu wa darasa la tano. Iwe shule ya kutwa, natanguliza shukrani. Click to expand... Nenda Hellen secondary, wana primary na nursery pia, unaeza pata mwanga kuanzia hapo. Check nao kwa 0713-494933
Zamaulid said: Wakubwa natarajia kuhamia huko soon. Naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri Kwa binti yangu wa darasa la tano. Iwe shule ya kutwa, natanguliza shukrani. Click to expand... Nenda Hellen secondary, wana primary na nursery pia, unaeza pata mwanga kuanzia hapo. Check nao kwa 0713-494933
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,697 Reaction score 15,497 Nov 16, 2024 Thread starter #4 Twilumba said: Nenda Hellen secondary, wana primary na nursery pia, unaeza pata mwanga kuanzia hapo. Check nao kwa 0713-494933 Click to expand... asante mkuu
Twilumba said: Nenda Hellen secondary, wana primary na nursery pia, unaeza pata mwanga kuanzia hapo. Check nao kwa 0713-494933 Click to expand... asante mkuu
akili akili JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,737 Reaction score 1,102 Nov 17, 2024 #5 Golden Light pia sio mbaya