Wale wa Mbezi Magohe, naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri kwa binti wa darasa la tano

Wale wa Mbezi Magohe, naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri kwa binti wa darasa la tano

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
19,697
Reaction score
15,497
Wakubwa natarajia kuhamia huko soon.

Naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri Kwa binti yangu wa darasa la tano. Iwe shule ya kutwa, natanguliza shukrani.
 
Jamani ndo kusema humu hakuna wadau wa Mbezi Magohe?!
 
Wakubwa natarajia kuhamia huko soon.

Naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri Kwa binti yangu wa darasa la tano. Iwe shule ya kutwa, natanguliza shukrani.
Nenda Hellen secondary, wana primary na nursery pia, unaeza pata mwanga kuanzia hapo.

Check nao kwa 0713-494933
 
Back
Top Bottom