WALE WA MBUDDYA ISLAND

Huwa naskiaga mbudya mbudyaa....nataman sana fika anejua full details jins ya kufika nk...embu titirika hapa
Nenda mbezi beach,itafite bahari ilipo hta kwa kuulizia,
Ukifika saka hotel zq whitesands au jangwani,ukifika andaa chapaa uliza utaratibu,
Haicost much,12k kwa wageni,boti pa1 na usafi.
Me naendaga kwa kuogelea tu nkfka pale beach[emoji86]
 
Doh
kwa hiyo mambo yetu yale ya kiswahili ya makafara yako mpaka huko??
Sina uhakika mkuu,ila me nadhan ukaribu wa pale beach na mbudya unawahadha watu wanakua careless,ila anything iktokea yale maji ni nyoso mkuu,hugusi chini.na km kuogelea hujui au km wengi wanakuaga tungi,madhara tunayaona
 
Jinsi ya kufika
Anza ubungo panda magari ya mbagala rangi tatu... Ukifika yanapogruzia unashuka.. Unaulizia daladala zinaazoenda maji matitu
Shuka kituo cha kwa ali mpemba



Subiri naenda kunywa maji nije malizia
Ni mbali San'a
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa leo kitunguu Thaum kinatengeneza mchuz. Kila mtu na lake
 
Wewe ukitaka kwenda mbudya uwe na hela za kutosha sababu waningia kwa boti.. Ni kisiwani
Fika bahari beach hotel za fukweni wanatoa huduma ya kukupeleka huko
Pia andaa roho yako kwa lolote litalotokea.. Unaweza kufa
Huwa naskiaga mbudya mbudyaa....nataman sana fika anejua full details jins ya kufika nk...embu titirika hapa
 
Huwa naskiaga mbudya mbudyaa....nataman sana fika anejua full details jins ya kufika nk...embu titirika hapa
Kuna visiwa viwili vyote vina starehe zinazofanana. Kuna kisiwa cha Mbudya na cha Bongoyo. Kisiwa cha Bongoyo kinafikika kupitia hotel ya slipway huwa kuna boat za kukufikisha huko na kuna huduma za samaki choma na vinywaji. Kisiwa cha Mbudya kinafikika kupitia white sands hotel au jangwani sea breeze. Nako huko mambo kama Bongoyo
 
Hivi mbudya ipo kigoma?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Hahhaa ipo msoma


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…