INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
- Thread starter
-
- #41
Me nasikiaga wanaoenda huko wanakufaga tu..wewe huogopi kufwa????
3Feb tutakua hapo! For birthday part
Sasa wewe kwa nn ukifuate kifo mkuu? Acha kikufuate siyo kukifuata. HahahahahahahahhahahahahahKufa kupo tu [emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa wewe kwa nn ukifuate kifo mkuu? Acha kikufuate siyo kukifuata. Hahahahahahahahhahahahahah
Mkuu wenzio wanaendaga kutalii hivi hivi na hawarudi hahahahahahaha.. Hata Pancho Latino alienda hivi hiviMe naenda kutalii sijawaza kufaa [emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
😂😂Me nasikiaga wanaoenda huko wanakufaga tu..wewe huogopi kufwa????