wale wa mechanical engineering udsm, naomba kuwafahamu wenyeji na wageni kama mimi

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
nimechaguliwa mechanical engineering udsm, kama kuna anayesoma kozi hiyo au kachaguliwa naomba tufahamiane wadau. Pia kama kuna wadau jf wanaijua kozi hii naomba taarifa ya kozi kwa ufupi sana, na je,kibongo bongo inalipa?
 
Nenda mkuu...especially now, you will never regret.
 
nimechaguliwa mechanical engineering udsm, kama kuna anayesoma kozi hiyo au kachaguliwa naomba tufahamiane wadau. Pia kama kuna wadau jf wanaijua kozi hii naomba taarifa ya kozi kwa ufupi sana, na je,kibongo bongo inalipa?

Katika hali ya kawaida nilitegemea ungekuwa umefanya utafiti kwa kila kozi uliyotaka kuomba kabla ya kuchukua uamuzi wa kuiomba. Tujifunze kufanya utafiti kabla ya kuchukua maamuzi.
 
nimechaguliwa mechanical engineering udsm, kama kuna anayesoma kozi hiyo au kachaguliwa naomba tufahamiane wadau. Pia kama kuna wadau jf wanaijua kozi hii naomba taarifa ya kozi kwa ufupi sana, na je,kibongo bongo inalipa?

Sina details sana na hii kozi ila kwa ufahamu wangu mdogo ni kuwa hakuna elimu isiyo kuwa na manufaa, ila kinacholeta shida ni mazingira ambapo mhitimu wa elimu hiyo yupo. Kwa mazingira yetu hii kozi bado manufaa yake si makubwa sana kama civil engineering. Ushauri wangu ni kuwa soma hii kozi na uelewe kwani ukiwa na uelewa mzuri kazi utapata na utatoka, lakini kama utaanza usharobaro, kichwa kitaliwa!!
 
Back
Top Bottom