NICK WA 16
Member
- Aug 18, 2013
- 26
- 3
umemaliza mwka gani pale?ni kipindicha headmaster ni majubwa au? Unakumbuka vile vibanda umiza vilivyokuwa vinaonyesha mpira na pilau usiku (porn)? Unakumbuka ile tv ya shule ilivyokuwa inaangaliwa mpaka saa tisa usiku? Yule babu mfupi wa chakula anaitwaje? Mama hadija yule mama muuza chai pale mtaani.
daah! Walambo hebu tukumbushane kidogo kuhusu sxul yetu; mi naanza mnakumbuka bonge la bifu kati yetu na waboyziaa!!?.
umemaliza mwka gani pale?ni kipindicha headmaster ni majubwa au? Unakumbuka vile vibanda umiza vilivyokuwa vinaonyesha mpira na pilau usiku (porn)? Unakumbuka ile tv ya shule ilivyokuwa inaangaliwa mpaka saa tisa usiku? Yule babu mfupi wa chakula anaitwaje? Mama hadija yule mama muuza chai pale mtaani.
teh teh yule babu anaitwa babu msengi,nakumbuka kwa mama hadija a.k.a mbwa mkali,vibanda umiza vipo kama kawaida,unapakumbuka kachelema!!!? But nimemaliza enzi za headmaster sagenge shiloti.
katondora bado analisongesha kwenye french but makaranga kaachana na uticha, zoma pia yupo kwa sasa.
unalikumbuka hili song?. ''milambo shule yangu naipenda......iko tabora mjini.......kanda ya magharibi........,