Wale wa Milambo High School njoo hapa

Wale wa Milambo High School njoo hapa

NICK WA 16

Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
26
Reaction score
3
daah! Walambo hebu tukumbushane kidogo kuhusu sxul yetu; mi naanza mnakumbuka bonge la bifu kati yetu na waboyziaa!!?.
 
umemaliza mwka gani pale?ni kipindicha headmaster ni majubwa au? Unakumbuka vile vibanda umiza vilivyokuwa vinaonyesha mpira na pilau usiku (porn)? Unakumbuka ile tv ya shule ilivyokuwa inaangaliwa mpaka saa tisa usiku? Yule babu mfupi wa chakula anaitwaje? Mama hadija yule mama muuza chai pale mtaani.
 
teh teh yule babu anaitwa babu msengi,nakumbuka kwa mama hadija a.k.a mbwa mkali,vibanda umiza vipo kama kawaida,unapakumbuka kachelema!!!? But nimemaliza enzi za headmaster sagenge shiloti.
 
Ha ha ha ha......namkumbuka sana Njunwa alinipa adhabu ya kufagia barabara mwaka mzima. Hv Misana, Katondora Muchungu Sikazwe wapo? Mi nilimalizaga long time ago 2000....mwendo wa treni tu mpaka home
 
Kabeja....sotambele.....zoma kumbuka sana bila kusahau makaranga
 
umemaliza mwka gani pale?ni kipindicha headmaster ni majubwa au? Unakumbuka vile vibanda umiza vilivyokuwa vinaonyesha mpira na pilau usiku (porn)? Unakumbuka ile tv ya shule ilivyokuwa inaangaliwa mpaka saa tisa usiku? Yule babu mfupi wa chakula anaitwaje? Mama hadija yule mama muuza chai pale mtaani.

huyo mtu ni my father na hapa nipo nae home ameshastaafu kama miaka miwili iliyopita...daaaa he was a unique one
 
Mabweni yetu ni Rugambwa Sokoine na Nyerere,vyoo vzur vilikuwa ni maeneo ya california msosi kwa hadija ila sasa hivi kuna kiband cha Ashura karibu kabisa na darasa la EGM.
 
umemaliza mwka gani pale?ni kipindicha headmaster ni majubwa au? Unakumbuka vile vibanda umiza vilivyokuwa vinaonyesha mpira na pilau usiku (porn)? Unakumbuka ile tv ya shule ilivyokuwa inaangaliwa mpaka saa tisa usiku? Yule babu mfupi wa chakula anaitwaje? Mama hadija yule mama muuza chai pale mtaani.

Babu Msengi noma,alinifundisha kupika biriani.
 
teh teh yule babu anaitwa babu msengi,nakumbuka kwa mama hadija a.k.a mbwa mkali,vibanda umiza vipo kama kawaida,unapakumbuka kachelema!!!? But nimemaliza enzi za headmaster sagenge shiloti.

Umenitangulia mkuu.
 
katondora bado analisongesha kwenye french but makaranga kaachana na uticha, zoma pia yupo kwa sasa.
 
mm nakumbuka sana mzee kabeja na zoma misimamo isiyo na maana.
 
kimbembe cha kilikua kinakimbizwa sana especially tukitoka mechi za ugenini haijalishi tumeshinda ama tumeshindwa!!!!.
 
unalikumbuka hili song?. ''milambo shule yangu naipenda......iko tabora mjini.......kanda ya magharibi........,
 
Chini kwa chini Walambo chini...eeeeeee..
Chini kwa chini Walambo chini...eeeeeee..

Walambo mje huku..,Walambo mje huku..eeeeee..
Kama vipi tuondoke..kama vipi tuondoke...eeee...

Stimu...stimu...!
Panda...
Stimu...stimu...!
Panda..panda..
Lol,naipenda Milambo,
nmehitimu pale
A-level 2010.
 
Back
Top Bottom