Wale wa Milambo High School njoo hapa

Wale wa Milambo High School njoo hapa

kimbembe cha kilikua kinakimbizwa sana especially tukitoka mechi za ugenini haijalishi tumeshinda ama tumeshindwa!!!!.

Wacha bana I wish zile siku zirudi nyuma milambo was my favourite!!!!!
 
Ina michepuooo...yenye sifa teleee,hasa wa lugha...
KIswahili... kiingereza.. kifaransa... Na kilimo.
Enzi zetu kulikuwa na Fupa kama headmaster, deputy wake alikuwa mwanakondoo. Mrefu wote kuliko wote alikuwa le prof Rutagengwa. Enzi hizo kuoga ilikuwa chemchem kwenye bomba la kijiji. Kule jirani na 6EGM kulikuwa na mama Salim mpika ubwabwa. halafu kutuliza mawazo ni baa ya CDA sijui kama ipo. nilikuwa pale five na six 1993 -95.
 
Mama Khadija Mabanzi, Kanteen Mama Rama, Supu na Mpira Kwa Hamadi. Nimepamic sana Milambo. Nimehitimu PGM 2009
 
Ha ha ha ha......namkumbuka sana Njunwa alinipa adhabu ya kufagia barabara mwaka mzima. Hv Misana, Katondora Muchungu Sikazwe wapo? Mi nilimalizaga long time ago 2000....mwendo wa treni tu mpaka home

Unawajua hawa watu Prosper Guga, Joel Simon, Sebastian Manumba, Edward Uphoro, Bwire Manyaka, Mwalimu Hussein, Yakubu Salum, Kiyungi Ally, Owen Joseph, Shadrack Chabi, Deo Mlua, na wengine ongezea.
 
Bro tutafutane bwana, mimi ni mmoja ya hao uliowataja hapo juu, Duuh namis sana chama langu huku nilipo
 
Nduka you can join our Whatsapp group by just communicating with Deogratius Mruah who is the Group Admin
 
Duuh zamani sana, Makaranga ni Afisa Elimu Urambo, Jamaa amesota sana kutafuta credit za form six mpaka akafanikiwa, kisha akaanza kukomaa na kuomba chuo, nakumbuka 2004 nilifanya nae mtihani wa SUA wakampiga chini baadae akapata DUCE, Jamaa kaishi sana geto lakini mungu kamwona sasa ni afisa wa elimu, Jamaa alinifundisha physical Geograph
 
leo wameandamana mpaka ofisi ya RC kulalamika juu ya chakula.. wamechoka kula ugali kila siku..
 
leo wameandamana mpaka ofisi ya RC kulalamika juu ya chakula.. wamechoka kula ugali kila siku..

Na wewe ni m-osu.?

Milambo Men, hili jina halikuwa rasmi ila lilikuwa likitumika kuwaonyesha Tabora boys si lolote si chochote. Haaahaah
 
Back
Top Bottom