KAUZUDAGAA
Member
- Sep 24, 2012
- 36
- 4
Niaje watu wangu wa nguvu kutikamuce?
ebwana tunawakaribisha first year wote mliochaguliwa MUCE.
Kiukweli MUCE akuna kuuza sura ni kiytabu kwa kwenda mbele.
kwa wale wauza sura imekulu kwao.
We kweli upo Muce mbona kama kiswahili chako cha kubabaishia!
huyo yupo mwuce
kumbe ni member
nifafanulie haya maneno yako "imekulu, kiytabu" hv utafundisha somo gan kama hata kiswahil huwez?Niaje watu wangu wa nguvu kutikamuce? ebwana tunawakaribisha first year wote mliochaguliwa MUCE. Kiukweli MUCE akuna kuuza sura ni kiytabu kwa kwenda mbele. kwa wale wauza sura imekulu kwao.
nifafanulie haya maneno yako "imekulu, kiytabu" hv utafundisha somo gan kama hata kiswahil huwez?
chamsingi ni kwamba umepata message?kile alichokusudia ukielewe,umeelewa?mambo ya grammer,verbs,tutakutana chuo,isijeikokea unakosoa sana makosa ya wenzako,alafu ukasuppppppppppppppp!nomaaaaaaaaaaaa!kama unajua lugha,nenda kasome maliza,sio,unakosoa tu,kumbe walewale wa masaki alafu kiswahili kinakuzingua.🙂
nawe n wale wale isijeikokea ndio nini?