Wale wa mkawa university

Wale wa mkawa university

KAUZUDAGAA

Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
36
Reaction score
4
Niaje watu wangu wa nguvu kutikamuce?
ebwana tunawakaribisha first year wote mliochaguliwa MUCE.
Kiukweli MUCE akuna kuuza sura ni kiytabu kwa kwenda mbele.
kwa wale wauza sura imekulu kwao.
 
Niaje watu wangu wa nguvu kutikamuce?
ebwana tunawakaribisha first year wote mliochaguliwa MUCE.
Kiukweli MUCE akuna kuuza sura ni kiytabu kwa kwenda mbele.
kwa wale wauza sura imekulu kwao.

We kweli upo Muce mbona kama kiswahili chako cha kubabaishia!
 
Kwenye tiltle MKAWA
Kwenye main body IMEKULU KWAO
Daaa me cielew sasa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Niaje watu wangu wa nguvu kutikamuce? ebwana tunawakaribisha first year wote mliochaguliwa MUCE. Kiukweli MUCE akuna kuuza sura ni kiytabu kwa kwenda mbele. kwa wale wauza sura imekulu kwao.
nifafanulie haya maneno yako "imekulu, kiytabu" hv utafundisha somo gan kama hata kiswahil huwez?
 
orientation tar 12 up to 18 semster ya kwanza inaanza tar 21 zote mwz wa 10
 
chamsingi ni kwamba umepata message?kile alichokusudia ukielewe,umeelewa?mambo ya grammer,verbs,tutakutana chuo,isijeikokea unakosoa sana makosa ya wenzako,alafu ukasuppppppppppppppp!nomaaaaaaaaaaaa!kama unajua lugha,nenda kasome maliza,sio,unakosoa tu,kumbe walewale wa masaki alafu kiswahili kinakuzingua.🙂
 
nawe n wale wale isijeikokea ndio nini?
 
Back
Top Bottom