Wale wa mlimani UDSM

Kiasi fulani mzee aliweka heshima, nakumbuka "don't bring frustrated mothers to the Hill"


Kwa kifupi walikuwa wanaitwa "frumos". Ila huyu jamaa alikuwa na uonevu kwa akina dada sana. Hivi bado mzee hai kwenye vyuo siku hizi?? Maana hao watoto wetu huko wanahitaji sana hekima za mzee Punch kuwaweka sawa. Enzi hizo Mzee Punch akinguruma basi matoleo yanabandikwa vyuo muhimu kama IDM, Muhimbili na IFM. Kazi kweli kweli.
 
Punch wengine wako humuhumu watukumbushe mambo yao. Nadhani mwaka wetu pale chuo ndo ilitoka punch ya mwisho lakini baada ya kugundulika hawakuendelea tena wala kurithisha kizazi kingine.

Naona tuwataje kwa majina yao halisi na si ya ID za hapa. Ninakumbuka tulisoma katika magazeti kuwa mtandao wa mzee punch uligundulika na ulikuwa na very key figures nyingine ni wazee haswa, yaani mfumo wao ni hatari. Je kuna mwenye kuwajua angalao wachache?? Walienda deep mno hadi kusababisha vifo kwa kina dada!!
 
vipi zile comments zilizokuwa zinaandikwa juu ya matangazo kwenye notice boards? sijui kama bado zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…