Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Kiasi fulani mzee aliweka heshima, nakumbuka "don't bring frustrated mothers to the Hill"
Kwa kifupi walikuwa wanaitwa "frumos". Ila huyu jamaa alikuwa na uonevu kwa akina dada sana. Hivi bado mzee hai kwenye vyuo siku hizi?? Maana hao watoto wetu huko wanahitaji sana hekima za mzee Punch kuwaweka sawa. Enzi hizo Mzee Punch akinguruma basi matoleo yanabandikwa vyuo muhimu kama IDM, Muhimbili na IFM. Kazi kweli kweli.