mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Naomba kuuliza hizo joining instructions ni lini zitapatikana maana kila ukiwapigia simu wanasema kesho ? Na pia katika yale majina ya walochguliwa wamesema inatakiwa ulipe ada kabla ya 5. October sasa HESLB si washatoa majina ya walopata so kama umepata si unaacha tu kulipa ama vp ? Naombeni msaada wenu
MuHAS ?? ?
Yaani MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES Au Unataka Nini?