Wale wa muhas 1st year

Wale wa muhas 1st year

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Naomba kuuliza hizo joining instructions ni lini zitapatikana maana kila ukiwapigia simu wanasema kesho ? Na pia katika yale majina ya walochguliwa wamesema inatakiwa ulipe ada kabla ya 5. October sasa HESLB si washatoa majina ya walopata so kama umepata si unaacha tu kulipa ama vp ? Naombeni msaada wenu
 
Mimi sipo MUHAS kwa sasa, lakini nina uzoefu wa shule hiyo!

Issue ya ada, kama umepata mkopo usihofu Jamaa wa HESLB watapeleka ada yako. Lakini kuna michango midogo midogo ambayo unatakiwa uilipe wewe sio HESLB, kitu kama Reg fee, Exam Fee, Insuarance, Student Union etc. Tafuta info vizuri kwa wenzako au Administration Ujue hiyo michango(Minus Tuition Fees) ni kiasi gani, ndo unatakiwa uilipe hiyo before 5th Oct.

Cheerz!
 
Back
Top Bottom