Wale wa Mzumbe (BS. ICTM).

Wale wa Mzumbe (BS. ICTM).

ozunuh

Senior Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
100
Reaction score
8
Tukutane hapa kwa wale wote tuliochaguliwa mzumbe (bs. Ictm) tujadiliane mambo mbalimbali!!!
 
Samahan jaman! Hivi mzumbe washatoa joining instruction?
 
Bado hawajatoa ila nafikiri soon itakuwa ndani ya web yao
 
Back
Top Bottom