Wale wa mzumbe mpo!

WamLola

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
343
Reaction score
122
jamani wana jf ambao tunaenda mu mbona mkpo kimya tufahamiane jamani pia tupeane mainfo kuhusu maisha ya kule.karibuni!!!!!!!!!!:A S 465::flypig:
 
hostel zile zilizotelewa kwenye joining instructions ni mpya!
 
Mkienda shule msomi msiishie kwenda changarawe "kuto single"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…