vyumba ujanja kuwah dogo ukitaka kupata in campus cku ya kwanza ya registration uwe chuo ukiwa umelipa kila ki2 huna deni hata senti otherwz outside rmz r much xpensiv na most low quality those wit standard vko mbal frm chuo?
Njoo mapema ufanye payements then upige mishe upate room ndo urudi home hadi hapo mda wa kuja kuanza masomo utakapofika
xaxa mdau wameshaanza kulipia hivyo vyumba au.
nenda kwenye web ya chuo kwenye info about fee structure wamesema utalipia chumba mpk utakapo pewa chumba
nasikia ambao wanapewa kipaumbele ni wale waliochaguliwa from TCU ni kweli hayo.
c kwel any1 anaweza kupata rum az lng az umewah mapema!
kama utamudu outside gharama zao kakae tu.Kama mwenzangu na sie tubanane ndani.kwa ushauri wenu guys n better kupata rum in au ouside ?
kama utamudu outside gharama zao kakae tu.Kama mwenzangu na sie tubanane ndani.
ni kweli kabisa![/QUOTE sasa kaka Mbona wanasema Hosteli za Nnje ni Gharama but Mazingira yake yapo Hovyo ni Kweli au!!!