Wale wa mzumbe mpo!

Wale wa mzumbe mpo!

We kijana dah hali huku c mbaya ila kama vip uje na nyumba kabisaaa ili upate pakujiweka
 
Hawa mu nao cwaelewi wameandika ukipata chumba ndo ulipie wakat kwenye join wameandika utakapoonyesha pay in slip hapo hapo utapewa room xo utasecure room vipi without paying first? Na wameongeza idadi ya wanafunz tena nimeona majina kwenye web yao.........af kwenye join wamesema kulipa mwisho ni tar30 wa tisa ambayo ishapita xo inakuwaje hapo kama bado hujalipa?

kweli Msaada kwa hili jamani.
 
fanyeni kuwahi chuo...madogo mkichelewa imekula kwenu.
 
Back
Top Bottom