kaka wewe chakufanya nenda accomodiation au office ya dean of student lazma upate kwasababu first year,certificate na watu wanaochukua masterz lazma upate kumbuka ni lazma upate
chuo ndo j3, wengine atujapata hostel, wengine tunakaa mbali sana. Pia usafiri ndo shida paka kufika chuo. Tunasaidiana vipi jamani
Njoo nikubebe dada yangu me nakaa changarawe overrrrrrrr,,,,,
Njoo nikubebe dada yangu me nakaa changarawe overrrrrrrr,,,,,
Jamani mm naweza kufika chuo kwnye jumatano hivi kwa sababu bado pesa haijatimia ya gharama za hapo chuo, je naweza nikapat chumba au ndo ntakosa na nilishapingiwa hostel ya NYIRENDA..
asante. Hata mie ni male, ukifika ni PM
Huhuhhhh I'm excited gal....ni pm namba yako bac
sorry, nadhan sitaenda chuo tena, nimekosa ada
Why babe??....ni pm bac...ntakusaidia kukulipia...bumu likitoka tu utanrudishia...wazi???
chumba n chako huwez kukosa
kijana alhamisi ndo mwisho wa usajili jitahidi ,hostel yako ipo
Jamani mm naweza kufika chuo kwnye jumatano hivi kwa sababu bado pesa haijatimia ya gharama za hapo chuo, je naweza nikapat chumba au ndo ntakosa na nilishapingiwa hostel ya NYIRENDA..