wale wa mzumbe

wale wa mzumbe

Barhearty

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
319
Reaction score
29
chuo ndo j3, wengine atujapata hostel, wengine tunakaa mbali sana. Pia usafiri ndo shida paka kufika chuo. Tunasaidiana vipi jamani
 
We njo chuo,uta wasiliana na wenye hostel kama walivyoandika kwenye admsn letter
 
kaka wewe chakufanya nenda accomodiation au office ya dean of student lazma upate kwasababu first year,certificate na watu wanaochukua masterz lazma upate kumbuka ni lazma upate
 
asante
 
Jamani mm naweza kufika chuo kwnye jumatano hivi kwa sababu bado pesa haijatimia ya gharama za hapo chuo, je naweza nikapat chumba au ndo ntakosa na nilishapingiwa hostel ya NYIRENDA..
 
chumba n chako huwez kukosa
 
Jamani mm naweza kufika chuo kwnye jumatano hivi kwa sababu bado pesa haijatimia ya gharama za hapo chuo, je naweza nikapat chumba au ndo ntakosa na nilishapingiwa hostel ya NYIRENDA..

umeshafika chuo, au unaenda j5 ya wik ijayo
 
Back
Top Bottom