mr mayormoney
Member
- Sep 25, 2014
- 16
- 1
Na
mimi hiyo status wameitoa na hakuna chochote
nimechanganyikiwa kwenye profile yangu anasomeka mtu mwingine jamani ni mimi tu au kuna mwenyeshida kama hii?
Nifanyeje
msaada wadau mm nimeandikiwa ELIGIBLE..MUST, zingine not eligible DIT,ATC,UDSM na SUA ila
kwa chini wameniandikia ni reset chosen programmes, hata sielewi hiyo
eligible ni ya nn sasa?? na nna gpa ya 4.6
Wakuu mbona mm haibadilik chochote toka wameniambia dear ... Stay calm, until now bado iko hvo hvo
Nenda tcu jamen wametoa link vizur tu kama umechaguliwa utajikuta kule TCU
Hata kama ww ni diploma kule utajikuta me nimekuta jina langu kule leo@123
Nimeangalia vzr kwahyo sis tuliochaguliwa ni form six????
Me naona nikuache
Nenda www.tcu.go.tz
Fungua homepage yao news ya kwanza kwenye pale ukiingia unaambia ingiza form 4 index no pia mwaka uliomaliza na majina yako mawili then unasearch utaona jina lako kama umechaguliwa au la??
Omba upya bado kuna nafas