Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

Na
mimi hiyo status wameitoa na hakuna chochote

msaada wadau mm nimeandikiwa ELIGIBLE..MUST, zingine not eligible DIT,ATC,UDSM na SUA ila
kwa chini wameniandikia ni reset chosen programmes, hata sielewi hiyo
eligible ni ya nn sasa?? na nna gpa ya 4.6
 
nimechanganyikiwa kwenye profile yangu anasomeka mtu mwingine jamani ni mimi tu au kuna mwenyeshida kama hii?
Nifanyeje

Hilo tatizo hutokea ila baada ya muda flan litaondoka....kama ikiendelea kuzingua...nenda nacte kama upo dar
 
msaada wadau mm nimeandikiwa ELIGIBLE..MUST, zingine not eligible DIT,ATC,UDSM na SUA ila
kwa chini wameniandikia ni reset chosen programmes, hata sielewi hiyo
eligible ni ya nn sasa?? na nna gpa ya 4.6

Mkuu fanya upesi kureset uombe upo Eligible maana yake umekidhi vigezo sasa kama kama umeandikiwa reset maana yake nafasi zimejaa pamoja na kukidhi kwa vigezo ushindani ulikuwa mkubwa ukichelewa utakuta vyuo vimejaa
 
Wakuu mbona mm haibadilik chochote toka wameniambia dear ... Stay calm, until now bado iko hvo hvo

Mimi nilikuwa nimeandikiwa selected but not confirmed ila kwa sasa wameandika confirmed mzumbe university bachelor of health services management
 
Nenda www.tcu.go.tz
Fungua homepage yao news ya kwanza kwenye pale ukiingia unaambia ingiza form 4 index no pia mwaka uliomaliza na majina yako mawili then unasearch utaona jina lako kama umechaguliwa au la??
 
Fungua website ya tcu. Kisha upande wa kulia kwenye news and events utakuta link Admission selection results for 2014/2015 academic year
 
Back
Top Bottom