Nenda www.tcu.go.tz
Fungua homepage yao news ya kwanza kwenye pale ukiingia unaambia ingiza form 4 index no pia mwaka uliomaliza na majina yako mawili then unasearch utaona jina lako kama umechaguliwa au la??
Wale wa check in progress saivi checking
Nimeona mkuu ile ni form six tu angalia vizuri
Me mwenyewe diploma na jina langu lipo huko.... Kaangalie link iliyotoka jana mkuu
Msaada wakuu, profile yangu ipo vile vile naambiwa stay calm pia niki search jina langu kwenye ile link waliotoa TCU jina langu hakuna. Kunauwekano wakua nimeshakosa chuo au selection bado zinaendelea?
mh hapo kutakuwa na tatizo....kama upo dar nenda nacte ila kama upo mkoan waeleze shida yako kwenye email zao
Nipo mkoan mkuu, sina hata email zao
Mdogo wangu ajaona jina lake mpaka nw
mh hapo kutakuwa na tatizo....kama upo dar nenda nacte ila kama upo mkoan waeleze shida yako kwenye email zao
kwa wale wote ambao wameandikiwa selected tafadhali ingieni kwenye website ya vyuo husika and chech majina ya walio chaguliwa kama haumo basi plz waone nacte maramoja ila kama wamekwambia not selected plz re apply again immediately!
Mie profile yangu haijabadirika chochote mkuu na nipo mbali na Dar
ok! Mkuu mambo mazuri hayataki haraka!