Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

Nenda www.tcu.go.tz
Fungua homepage yao news ya kwanza kwenye pale ukiingia unaambia ingiza form 4 index no pia mwaka uliomaliza na majina yako mawili then unasearch utaona jina lako kama umechaguliwa au la??

Kama profile yako haijaonyesha selected ha ukicheck tcu huwezi ona pia hiyo Cas ni moja na kama umeapply diploma kila kitu nacte kule wanavuta kinachoonekana huku baada ya confimation
 
Me mwenyewe diploma na jina langu lipo huko.... Kaangalie link iliyotoka jana mkuu

Msaada wakuu, profile yangu ipo vile vile naambiwa stay calm pia niki search jina langu kwenye ile link waliotoa TCU jina langu hakuna. Kunauwekano wakua nimeshakosa chuo au selection bado zinaendelea?
 
mh hapo kutakuwa na tatizo....kama upo dar nenda nacte ila kama upo mkoan waeleze shida yako kwenye email zao
 
Nipo mkoan mkuu, sina hata email zao

INGIA KWENYE ACOUNT YAKO,CHINI KABISA KUNA CONTACTS ZAO ikiwemo na hyo email...kama sikosei itaku admissions@nacte.go.tz ila ingia ili uhakikishe
 
kwa wale wote ambao wameandikiwa selected tafadhali ingieni kwenye website ya vyuo husika and chech majina ya walio chaguliwa kama haumo basi plz waone nacte maramoja ila kama wamekwambia not selected plz re apply again immediately!
 
Mie profile yangu haijabadirika chochote mkuu na nipo mbali na Dar
 
Back
Top Bottom