Wale wa namba (Maths) tupeane sapoti hapa. Maswali hayaendi kabisa.....

Wale wa namba (Maths) tupeane sapoti hapa. Maswali hayaendi kabisa.....

system hacker

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2022
Posts
426
Reaction score
709
IMG_20220808_154626.jpg
 
yani hii post ghafla nimeikumbuka mt100 pale juu ya mlima dah hesabu ilinikimbiza sana.mwamba hii paper ni laini sana weka swali# tukupe maujanja ya porini.
 
Yapi hapo hayaendi? Sema kabisa.
Hapo ndio ilitakiwa ajieleze na tena isiwe anataka kujibiwa paper nzima ndio akili yake...
Amejaza hapa utopolo hapa, wa kiswahili, civics, geography. na sasa maths
Nilimwambia unataka msaada wa kujifunza au unataka ujibiwe maswali yote?
Akanipopoa mawe na kuniita msomi mchovu sijui chochote....
 
Back
Top Bottom