yani hii post ghafla nimeikumbuka mt100 pale juu ya mlima dah hesabu ilinikimbiza sana.mwamba hii paper ni laini sana weka swali# tukupe maujanja ya porini.
Hapo ndio ilitakiwa ajieleze na tena isiwe anataka kujibiwa paper nzima ndio akili yake...
Amejaza hapa utopolo hapa, wa kiswahili, civics, geography. na sasa maths
Nilimwambia unataka msaada wa kujifunza au unataka ujibiwe maswali yote?
Akanipopoa mawe na kuniita msomi mchovu sijui chochote....