Wale wa Ndanda Mwezenu huyu hukuuu....

Wale wa Ndanda Mwezenu huyu hukuuu....

MaMals

Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
46
Reaction score
7
Khabari zenu! Nimelazimika kuanzisha uzi mwingine almuradi tu kama ntapata mwitikio Maana Juhudi zangu hazipati sululu. Jamani naomba ntumieni Joining Instruction ya Ndanda tafadhali wapendwa! abrahmissa30@gmail.com
 
Ipo mtwara wew nenda na pesa ya kutosha tu ndio itaweza kusave everythng that u wana lookng for.
 
Enzi zile mkuu wa shule akiwa Rulukila form za kujiunga zilikua hazitumwi Kwa wanafunzi,ukifika unainunua kisha unaanza mchakato.Cha msingi ni kwenda na pesa za kujikimu na godoro.Niliipenda sana Ndabo maana umoja wao ndio sifa kuu,walimu ndio wanafunzi.
 
Back
Top Bottom