Enzi zile mkuu wa shule akiwa Rulukila form za kujiunga zilikua hazitumwi Kwa wanafunzi,ukifika unainunua kisha unaanza mchakato.Cha msingi ni kwenda na pesa za kujikimu na godoro.Niliipenda sana Ndabo maana umoja wao ndio sifa kuu,walimu ndio wanafunzi.