Wale wa nit tujadiliane hapa

Wale wa nit tujadiliane hapa

johnshedo

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
98
Reaction score
6
Mm nimechaguliwa chuo cha institute of transport.. nawaombeni wandugu mlioko hapo.. mtupe information kuhusu Room na maisha ya hapo kwa ujumla..
 
Mm nimechaguliwa chuo cha institute of transport.. nawaombeni wandugu mlioko hapo.. mtupe information kuhusu Room na maisha ya hapo kwa ujumla..

Kifupi NIT hakuna accomodation kwani hostel zao ni majengo mawili tu ya ghorofa, moja kwa wanawake na moja kwa wanaume. wanaopewa kipaumbele ni wanafunzi wa diploma au certificates. kwa wanafunzi wa degree, postgraduate au masters wao hupanga maeneo ya jirani au upiganishe mapema sana ili kupata room. kama unauhitaji sana wa room nakushauri uwahi mapema sana kwa dean ukajieleze akupe utaratibu.

chuo wanafungua tarehe 15 october.
 
wa nacte vp apo nit???wenzetu wa tcu tayar bdo cye 2
 
nashukuru sana mkuu kwa kunijuza.. sasa room ni bei gani hapo maximum yaani cha umeme na maji..
 
Hello guys.....! I've one of my friends there at the institute.. He's gettn to the second year.. If you wish you can call 0683011003 and you are going to get help!
 
Back
Top Bottom