Wale wa Old Skool: Piggy wa Black huyu hapa

Wale wa Old Skool: Piggy wa Black huyu hapa

mkuu barikiwa weka huo wimbo wa fa sitaamka...nadhani kuo ulikuwa wimbo wa 3 baada ya ingekuwa vipi na mim na mabinti,then ndo iyo ngoma....nouma saaaana
 
Sawa mkuu nimetulizaa ilaa next time pia ujaribu kutulizaa KIPAPAA hicho
 
Back
Top Bottom