Wale wa SAUT jitazameni hapa

Ndugu shyja, kama alivyoeleza Ngaramtoni hapa, nadhani hawa ni wa main campus Mwanza kwa sababu Mihayo na Mwenge(MWUCE) tayari wameshatoa majina yao.
 
Last edited by a moderator:

labda watatoa muda si mrefu, ila ni vizuri kama wangespecfy moja kwa moja.
 
Ndugu shyja, kama alivyoeleza Ngaramtoni hapa, nadhani hawa ni wa main campus Mwanza kwa sababu Mihayo na Mwenge(MWUCE) tayari wameshatoa majina yao.

ni vizuri ndugu kama itakuwa hivo. Ila kuna tawi lao kusini mwa tanzania i.e ruvma au mtwara pia bukoba. Itakuwa vizuri kama matawi yao yatakuwa specified kama ilivyo duce na muce kwa udsm. Hii itasaidia kuondoa utata na kumfanya mwombaji aombe moja kwa moja campus aipendayo.
 
Last edited by a moderator:

Yap,hiyo ingeasaidia, hizo branch za kusini na Bukoba zingefanya kama tabora na Moshi.
 
mazee hapo ni kwa wote na waliomba wakiwa na diploma.
 
Yap,hiyo ingeasaidia, hizo branch za kusini na Bukoba zingefanya kama tabora na Moshi.

nadhani watafanya hivyo,manake tabora wameshafanya hivyo,pia kuna mtu nilimuangalizia kupitia airtel nikakuta amechaguliwa hili tawi la mtwara ie stella maris,nadahani centre ya mbeya na arusha ndo hawataweza kutangaza moja kwa moja
 
Ivi vipi kuhusu walio omba wa kiwa na Diploma.NACTE nayenyewe watatoa lini,wadau naombeni msada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…