Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni swali la msingi,ila nadhani niliona mihayao tabora walishatoa sasa wanapangaje tena?labda centre ya bukoba ndo cjaona matokeo yao,nasikia pia wana tawi mtwara ila sijui linaitwaje,pia kwenye orodha ya majina si wange-indicate kuwa fulani bin fulani anaenda campas gani

Ndugu shyja, kama alivyoeleza Ngaramtoni hapa, nadhani hawa ni wa main campus Mwanza kwa sababu Mihayo na Mwenge(MWUCE) tayari wameshatoa majina yao.
Wale mliokuwa mnasubiria majina yenu SAUT kazi kwenu, tembelea pia Saint Augustine University of Tanzania kwa maelekezo zaidi.
ni vizuri ndugu kama itakuwa hivo. Ila kuna tawi lao kusini mwa tanzania i.e ruvma au mtwara pia bukoba. Itakuwa vizuri kama matawi yao yatakuwa specified kama ilivyo duce na muce kwa udsm. Hii itasaidia kuondoa utata na kumfanya mwombaji aombe moja kwa moja campus aipendayo.
jaman eti reporting day ni 9 sept..sasa izo ada zao ztatafutwa lini
haya ndo mambo yanayonifanya nisijutie uamizi wangu wa kuichagua jamii forums asante sana Comrade kwa kazi hii nzuriWale mliokuwa mnasubiria majina yenu SAUT kazi kwenu, tembelea pia Saint Augustine University of Tanzania kwa maelekezo zaidi.
kabla ya reporting day
Yap,hiyo ingeasaidia, hizo branch za kusini na Bukoba zingefanya kama tabora na Moshi.