Wale wa SAUT jitazameni hapa

Wale wa SAUT jitazameni hapa

wakuu naomba mniangalizie huyu dogo Baraka James
 
ahsante, samahan tena wandugu, hivi ndo main campus au watawapanga kwenye matawi yao?
 
ahsante, samahan tena wandugu, hivi ndo main campus au watawapanga kwenye matawi yao?

ni swali la msingi,ila nadhani niliona mihayao tabora walishatoa sasa wanapangaje tena?labda centre ya bukoba ndo cjaona matokeo yao,nasikia pia wana tawi mtwara ila sijui linaitwaje,pia kwenye orodha ya majina si wange-indicate kuwa fulani bin fulani anaenda campas gani
 
Back
Top Bottom