wale wa SAUT (mwanza kwa ujumla)

Erick zeph Stanley

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
647
Reaction score
72
Wakuu mimi binafsi sihitaji kuishi hostel za chuo wala za watu binafsi bali nahitaji kuishi nje kidogo ya eneo la chuo hivyo kama kuna mtu anaweza kunipa support ya kunitafutia chumba maeneo ya nyegezi au hata mkuyuni anicheck hapa wakuu..
 
tatizo ukichelewa room itabid kujtaftia kando.
 
Nipo mwaka wa 2 kama unataka msaada room weka no zenu hapa nitawasaidia kuhusu bei inategemea aina ya room na umbali zipo za laki 4 5 hata milioni
 
Karibuni SAUT main campus. Njoon tulijenge jiji la Mungu pamoja (Building the city of God) hiyo ndo slogan yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…