wale wa SAUT (mwanza kwa ujumla)

poa kaka. Kuna wa2 wanapeleka siku mbele kwa kusdma tar 16, so inakuwaje hapo?

Kuanzia tarehe 16 itakuwa ni wiki ya orietantion kama sikosei na pia ni wiki ya supplementary na special exams.
 
kaka vyuo vingi wanafungua october lakini chetu ndo tunawahi kuliko wote

Kinawahi kufungua na kuchelewa kufunga pia kuna likizo ya wiki tatu tu kwa mwaka mzima wa masomo. Christmas 2weeks & pasaka 1week.

Pia hakuna likizo kati ya semister moja hadi nyingine ni mwendo wa kuunganisha tu. Hizo ndo changamoto zetu
 
Kinawahi kufungua na kuchelewa kufunga pia kuna likizo ya wiki tatu tu kwa mwaka mzima wa masomo. Christmas 2weeks & pasaka 1week.

Pia hakuna likizo kati ya semister moja hadi nyingine ni mwendo wa kuunganisha tu. Hizo ndo changamoto zetu


Real? Vp kwa sasa chuo kimefunga dents wako likizo, field au wapi?
 
huku changanyiken chumba mpk elf 25..mpk 35 kwa mwez ambayo kwa mwaka n sawa n sh lak 300000 mpk lak 420000..
1.igogo ya tanesco
2.nile pearch
3.mkuyuni
nk
 
saut wanawahi sana kufungua jamani vyuo vingine vyote mwezi wa kumi
 
huku changanyiken chumba mpk elf 25..mpk 35 kwa mwez ambayo kwa mwaka n sawa n sh lak 300000 mpk lak 420000..
1.igogo ya tanesco
2.nile pearch
3.mkuyuni
nk

Mbali na hiyo bei, kwa maeneo uliyotaja, wataarifu juu ya nauli ya express/hiace/daladala/matatu/etc ya Sh. 400/= hadi Nyege-zi Kona na Sh. 400/= kutoka Nyege-zi Kona hadi Malimbe. Hivyo nauli (one-way) ni Sh. 800/=. Nauli (return) ni 800/= x 2 = 1,600/= kwa siku!

Cheap is sometimes expensive!
 

hyo normal tu nyegez kona mpaka saut sio mbali pa kunishinda kupiga lonjo hapo napafahamu sana mkuu nimezurura sana huko enzi hizo nasoma AZIMIO P/S
 


Ebana kama ukitoka huko igogo, mkuyuni n.k unalipa sh 400 mpaka chuo kama ukpanda magari yanayoenda luchelele lakin ukipanda yanayoenda mkolani mpaka buhongwa ndiyo itakuwa nauli mara 2
 
huku changanyiken
chumba mpk elf 25..mpk 35 kwa mwez ambayo kwa mwaka n sawa n sh lak
300000 mpk lak 420000..
1.igogo ya tanesco
2.nile pearch
3.mkuyuni
nk

Kaka na mimi nahitaj chumba cha laki 3 tu naomba nisaidie jinsi ya kupata
 
Jamani sisi tunaotegemea msaada wa loans sasa hawa sauti hawlijui hilo mana mimi ntashindwa mashart yao ya kulipa kabla sijajua kama ntapata loan au cpati daaah jamani hichi chuo kishaniboa mimi mtoto wa kimasikini.....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…