Black ma colour JF-Expert Member Joined Nov 28, 2012 Posts 733 Reaction score 663 Aug 29, 2013 #1 habari zenu. Kwanza niwape pongezi kwa kudahiliwa katika chuo hiki cha sekomu. mwenye swali kuhusiana na sekomu aniulize hapa.
habari zenu. Kwanza niwape pongezi kwa kudahiliwa katika chuo hiki cha sekomu. mwenye swali kuhusiana na sekomu aniulize hapa.
Sadock Lazaro Member Joined Apr 28, 2013 Posts 69 Reaction score 5 Aug 29, 2013 #2 Mm nimechaguliwa hapo kupiga BedSN(science) vp mazingira ya chuo na hostel hapo chuoni?
I iPad ya Apple JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 322 Reaction score 126 Aug 29, 2013 #3 Black ma colour said: habari zenu. Kwanza niwape pongezi kwa kudahiliwa katika chuo hiki cha sekomu. mwenye swali kuhusiana na sekomu aniulize hapa. Click to expand... Acha kuwahadaa Vijana siyo kudahiliwa ni kuchaguliwa bhana! kuchaguliwa= To be selected kudahiliwa = To be admitted kwahiyo hao Vijana wamechaguliwa kujiunga na chuo, na wakishafika chuoni ndipo watadahiliwa na chuo. Nyie watoto wa Mulugo tabu kweli.
Black ma colour said: habari zenu. Kwanza niwape pongezi kwa kudahiliwa katika chuo hiki cha sekomu. mwenye swali kuhusiana na sekomu aniulize hapa. Click to expand... Acha kuwahadaa Vijana siyo kudahiliwa ni kuchaguliwa bhana! kuchaguliwa= To be selected kudahiliwa = To be admitted kwahiyo hao Vijana wamechaguliwa kujiunga na chuo, na wakishafika chuoni ndipo watadahiliwa na chuo. Nyie watoto wa Mulugo tabu kweli.
N nyota poa Senior Member Joined Aug 25, 2013 Posts 152 Reaction score 7 Aug 29, 2013 #4 Kweli kabisa ,ndio kwa maana wabogo huwa wanakosa kazi hivihivi kueleza kitu ambacho haki elewi
B Baba Genovivah JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 756 Reaction score 249 Sep 7, 2013 #5 mwelimishen huyu afu ndo yupo masters of arts in kiswahili....dah shida kwel kwel 2jpen moyo TZ ipo day tutafika tu japo kuna wachache wanaotukatisha tamaa
mwelimishen huyu afu ndo yupo masters of arts in kiswahili....dah shida kwel kwel 2jpen moyo TZ ipo day tutafika tu japo kuna wachache wanaotukatisha tamaa