wale wa Sebastian kolowa memorial university SEKOMU nioneni hapa.

wale wa Sebastian kolowa memorial university SEKOMU nioneni hapa.

Black ma colour

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
733
Reaction score
663
habari zenu.
Kwanza niwape pongezi kwa kudahiliwa katika chuo hiki cha sekomu.
mwenye swali kuhusiana na sekomu aniulize hapa.
 
Mm nimechaguliwa hapo kupiga BedSN(science) vp mazingira ya chuo na hostel hapo chuoni?
 
habari zenu.
Kwanza niwape pongezi kwa kudahiliwa katika chuo hiki cha sekomu.
mwenye swali kuhusiana na sekomu aniulize hapa.

Acha kuwahadaa Vijana siyo kudahiliwa ni kuchaguliwa bhana!

kuchaguliwa= To be selected

kudahiliwa = To be admitted

kwahiyo hao Vijana wamechaguliwa kujiunga na chuo, na wakishafika chuoni ndipo watadahiliwa na chuo.

Nyie watoto wa Mulugo tabu kweli.
 
Kweli kabisa ,ndio kwa maana wabogo huwa wanakosa kazi hivihivi kueleza kitu ambacho haki elewi
 
mwelimishen huyu afu ndo yupo masters of arts in kiswahili....dah shida kwel kwel 2jpen moyo TZ ipo day tutafika tu japo kuna wachache wanaotukatisha tamaa
 
Back
Top Bottom