Wale wa second round njoni hapa

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
hello mambo vipi kwanza !
Nina maswali haya hapa kama unaweza moja wapo ya hayo basi nitashukuru kama ufafanuzi utatolewa

1. Kuna second round yeyote aliyepata chuo up to now?

2. mbona kwenye profile kama yangu niliandikiwa proccessed succesfully. You have been selected na nikiangalia chuo nilichoomba (UDOM) jina langu halipo ila hiyo course waliopata ni 27 (Baed.(PSCH)

je kunauwezekano yakatoka tena?

3.mwisho kabisa ni ushauri wale ambao hatujapataup to now tujiandae kupokea majibu kukosa au kupata na siyo kuwa na presha mpaka no kula
NAOMBA MAJIBU MWENYE KUFAHAMU
 

Kaka mimi nilikuwa second round na chuo nimepata afu kuna wengi tu wamepata haribu kuangalia jina lako kwenye vyuo ulivyo chagua kijana...kama ni udom bado kuna second batch...na kama uliandikiwa selected lazima uchaguliwe
 
Kama uliandikiwa selected,ondoa hofu,utachaguliwa tu..udom huwa wana utaratibu wa kutoa majina in batches,so we unaweza kutokea kwenye batches zitakazofuatia.over
 
mmhh!! kazi kweli kweli

Sio ww tu uliyekosa hata rfk yng amekosa na alichagua 2nd round udom, lkn udom selection bado haijaisha kuna 2nd batch hadi 4th batch xo msihofu vuten subira tuπŸ™πŸ™‚
 
Ebwana kweli bwana hata mimi nilikuwa second nikaomba ud na tayari nimepata na nipo kwenye list. Labda udom ndo bado
 
Kama uliandikiwa selected,ondoa hofu,utachaguliwa tu..udom huwa wana utaratibu wa kutoa majina in batches,so we unaweza kutokea kwenye batches zitakazofuatia.over

aksante
 
Sio ww tu uliyekosa hata rfk yng amekosa na alichagua 2nd round udom, lkn udom selection bado haijaisha kuna 2nd batch hadi 4th batch xo msihofu vuten subira tuπŸ™πŸ™‚

ubarikiwe
 
hivi wale walo apply 2nd time wana vigezo vya kuchaguliwa kozi walizojaza mwanzo hatima yao ni ipi?nakumbuka tcu walitoa tangazo kuwa wamewaombea slots.,alafu hivi vyuo walivyojaza second time mbona vipo sharp sana yani nimeona majina meng ya waliochaguliwa ktk vyuo mbalimbali wakati waliapply 2nd time,so wengi wanataka kufanya transfer
 
dah mwenyewe niliomba education with ict udom ikiwa na slots kama 60 lakn hta cjachaguliwa na iyo koz wamechaguliwa wa2 16 tu.yan n prexha tupu
 
Kuna yeyote anaejua kama majina ya first and 2nd round ya Chuo cha Usafirishaji(NIT) yametoka? Nimetembelea website yao hawajaweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…