kwa wale tuliosoma zile shule zetu maneno haya si mapya
1.Hawafu mwenye nguvu
2.Moto na maji
3.Juma na uledi
4.Siku ya gulio
5.Pamela na kipini
6. kuku na yai
7.jogoo wa ajabu
Nimekukumbusha mbali
kweli kabisa sijui kama wanajua habari za
Juma na roza
manenge na mandawa
kibanga ampiga mkoloni
siku ya gulio katerero
na lile shairi maarufu la karudi baba mmoja.....!!!
aaah, enzi hizo, wenyewe hatujui Google wala Wikipedia!!!
Hao wote wa juzi juzi.......wewe sasa ndio tunaongea lugha moja......nondo mla watu alikuwa ananipa mawazo........usiku ukiingia mie hoi.......hivi alikuwa anaishi ziwa Jipe eeh......?