Wale wa shule za mfagio na kidumu cha maji soma hii

Wale wa shule za mfagio na kidumu cha maji soma hii

Sadat Hamis

Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
31
Reaction score
10
kwa wale tuliosoma zile shule zetu maneno haya si mapya
1.Hawafu mwenye nguvu
2.Moto na maji
3.Juma na uledi
4.Siku ya gulio
5.Pamela na kipini
6. kuku na yai
7.jogoo wa ajabu
Nimekukumbusha mbali
 
sungura afahamika, ujanja kajijazia
wenzake anawacheka, sungura huwazomea
ila siku ikafika, ya sungura kuumia X2....
hapo vp nimekumbusha mbali eeh!
 
Nyie wote wa karibu. Subirini kidooogo, wa mbali anakuja sasahivi.
 
Faraja mchoyo
chopeko na mnofu
mua uliozamisha meli
 
tola alia gizan
mpapai na mtete
pepe mwanangu huna masikio
sikuelewi
watoto wageuka mawe
mkutano wa wanyama
 
Nyie wote wa karibu. Subirini kidooogo, wa mbali anakuja sasahivi.

kweli kabisa sijui kama wanajua habari za
Juma na roza
manenge na mandawa
kibanga ampiga mkoloni
siku ya gulio katerero
na lile shairi maarufu la karudi baba mmoja.....!!!

aaah, enzi hizo, wenyewe hatujui Google wala Wikipedia!!!
 
Pamela na kipini
ugali na dagaa
mzee tola
mfalme ngurumo
kijana yasini
 
kwel nyie wadau sas tuipigie kura iliyo best mim naikubali JUMA NA ULEDI
 
1.Jogoo Aliyesema
2.Fikiri na Nduguze
3.Nondo Mla watu
4.Sizitaki Mbichi hizi
5.Lindu Amwokoa Kapilima

Hao wote wa juzi juzi.......wewe sasa ndio tunaongea lugha moja......nondo mla watu alikuwa ananipa mawazo........usiku ukiingia mie hoi.......hivi alikuwa anaishi ziwa Jipe eeh......?
 
Back
Top Bottom