Wale wa shule za mfagio na kidumu cha maji soma hii

Wale wa shule za mfagio na kidumu cha maji soma hii

Nilikuwa nakatazwa sana na maza kula kwa watu/kudusa,ila siku moja sinikajaribu wacha nivimbiwe kumbe nilipigwa 'zongo' duh!enzi zilee....
 
Mr and mrs Daudi.duu watoto wao,Neema,Musa and Baraka walikua role models wangu.it was a very nice family.
 
kweli kabisa sijui kama wanajua habari za
Juma na roza
manenge na mandawa
kibanga ampiga mkoloni
siku ya gulio katerero
na lile shairi maarufu la karudi baba mmoja.....!!!

aaah, enzi hizo, wenyewe hatujui Google wala Wikipedia!!!

Sikili na Sadiki
Nondo mla watu
Ukulima wa kisasa
 
We acha tu tulosoma st. Kunani tunacho cha kujivunia na kukumbuka
 
kweli kabisa sijui kama wanajua habari za
Juma na roza
manenge na mandawa
kibanga ampiga mkoloni
siku ya gulio katerero
na lile shairi maarufu la karudi baba mmoja.....!!!

aaah, enzi hizo, wenyewe hatujui Google wala Wikipedia!!!

umenikumbusha mbali sana manenge na mandawa.......tulikuwa tunaambizana tumbo kubwa kama manenge hhahahah....
 
Ukili wa bibi
Juma na Roza
Kibuyu cha bibi
Chopeko na mnofu
Kondoo na Chatu
Asali na Nyuki
 
Bulicheka na mkewe Lizabetha walipoenda kwa wagagagigikoko! Bila kusahau hapa Juma na Roza!
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1457581480.784703.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1457581480.784703.jpg
    22.8 KB · Views: 237
kweli kabisa sijui kama wanajua habari za
Juma na roza
manenge na mandawa
kibanga ampiga mkoloni
siku ya gulio katerero
na lile shairi maarufu la karudi baba mmoja.....!!!

aaah, enzi hizo, wenyewe hatujui Google wala Wikipedia!!!
MUSA,NEEMA AND BARAKA
 
Asante sana mmenikumbusha mbali sana duh kumbe na mimi nimekula chumvi
 
Juma na Roza

Huyu ni Baba, baba ana ng'ombe , ng'ombe wa baba ni mweusi baba anasema kimbia ng'ombe kimbia upesi baba ana njaa.
 
Back
Top Bottom