wale wa sikukuu embu tuambizane maeneo vaaamshi wapi tuebuke

wale wa sikukuu embu tuambizane maeneo vaaamshi wapi tuebuke

DoktorNecha

Member
Joined
Jul 17, 2015
Posts
16
Reaction score
19
Habari wana JF chit chat
kama mnavoona skukuu iyoo ishapiga hodi. Naona wazee wa maeneo nao washaanza kucheki mapochi yamekaaje...
Ebu tukumbushane maeneo mazur ya kuenjoy na activity nzuri za kufanya skukuu hizi kulingana na mtu eneo alipo bila ya kusahau kupeana invitations 😎😎😎
Ciao..
 
Back
Top Bottom