wale wa st.john dodoma selection and joining are out

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
leo nimetembelea web ya st john nikakuta taarifa hizo. Tatizo chuo hiki kila kitu kiko kwenye pdf files, ivyo sikuweza kusoma yaliyomo maana device yangu haisupport pdf files. Habari ndo hiyo, kazi kwenu!
 
ni kweli kaka nimeyaona kumbe airtel yatosha hawakutudanganya bhanaaaaaaaaaaaaa........................
 
je naweza kuhama course kabla ya registration kwa sababu niko karibu na chuo hapa!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…