Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
leo nimetembelea web ya st john nikakuta taarifa hizo. Tatizo chuo hiki kila kitu kiko kwenye pdf files, ivyo sikuweza kusoma yaliyomo maana device yangu haisupport pdf files. Habari ndo hiyo, kazi kwenu!