wale wa st.john's university of Tanzania (Dodoma) hapa ndo kwetu.

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
jamani tuliochaguwa st.john ya dodoma tupeane taarifa hapa maana wengine hatujui ata reporting date na admission letter (joining) tutapata vipi kwakuwa kwenye web ya chuo hakuna taarifa hizi. Brothers and Sisters mnaoendelea na masomo hapo st.john tunahitaji mwongozo wenu.
 
Admision letters na maelezo mengine yatakuwepo ktk web site yao mara tu watakapotoa majina au kwa aliy karibu na chuo(dodoma) afike chuon ili kupata maelez lkn ni baada ya majina kutoka.
 
Kuripoti ni tarehe 7 mwezi wa kumi na hostel ni kwa wasichana na wale ambao wanamatatizo..! nimeipata kwenye web yao...!
 
Kwenye timetable..! then utafungua SJUT Calendar 2013/14 utaona orientation week inaanza j3 tarehe 7 oct..!
 
Jaman mmesikia mpya ya heslb st johns? tujuzane kwa alieisoma plz.
 
kwa maelezo zaidi mumtafute huyu man fb atawaelekeza vizuri ARNOLD KISANGA
 
  • Hongereni kwa kupata nafasi. Ni,ewawekea baadhi ya attachment. Zote zinapatikana katika web ya chuo.
me mwenyewe cjajua nianzie wap me nipo st john, marks center dsm
Admision letters na maelezo mengine yatakuwepo ktk web site yao mara tu watakapotoa majina au kwa aliy karibu na chuo(dodoma) afike chuon ili kupata maelez lkn ni baada ya majina kutoka.
wewe ni kama mimi ila tutafanikiwa tu


SJUT CALENDER 2013/14
Code:
http://www.sjut.ac.tz/22012013/university%20calendar%20201314.pdf
SJUT Joining Intructions (Diploma & Certificate:Agricuture & Laboratory Technology)
Code:
http://www.sjut.ac.tz/announcements/SJUT%20JoiningIntructions%20for%20Diploma.pdf
Admission Letter ( Business Administration,Community Development and Law )
Code:
http://www.sjut.ac.tz/announcements/Admission2013.pdf
​Karibu
 

mbona join kwa undergraduate hazipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…