Y yusuph hashimu New Member Joined Aug 27, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Sep 3, 2013 #1 Wadau naomba msaada wa lini wanafunzi wa st.joseph mwaka wa kwanza tawi la dar es salaam wanafungua chuo
Wadau naomba msaada wa lini wanafunzi wa st.joseph mwaka wa kwanza tawi la dar es salaam wanafungua chuo
D DULLAHYO Member Joined Aug 23, 2013 Posts 24 Reaction score 2 Sep 3, 2013 #2 nipigie 0783653704 mimi nimechaguliwa pia pale na joining instruction ninayo!
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,890 Reaction score 2,795 Sep 3, 2013 #3 kila la kheri wakuu. Mkasome sana acheni usharobaro huko. Haulipi. Kitabu kwanza hayo mengine baadae mkishamaliza shule mtaona maisha yalivyo huku ughaibuni kitaa.
kila la kheri wakuu. Mkasome sana acheni usharobaro huko. Haulipi. Kitabu kwanza hayo mengine baadae mkishamaliza shule mtaona maisha yalivyo huku ughaibuni kitaa.
H Honest urassa Member Joined Aug 21, 2013 Posts 13 Reaction score 1 Sep 3, 2013 #4 Vip za huko suala la accademic limekaaje
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,211 Reaction score 1,059 Sep 3, 2013 #5 Wapigie,namba zao ni 0713757010 au 0784757010.Hizi namba ni za Dar lakini matawi yote mnaweza kupata msaada.
Wapigie,namba zao ni 0713757010 au 0784757010.Hizi namba ni za Dar lakini matawi yote mnaweza kupata msaada.