Wale wa st.joseph tawi la dar es salaam

Wale wa st.joseph tawi la dar es salaam

yusuph hashimu

New Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Wadau naomba msaada wa lini wanafunzi wa st.joseph mwaka wa kwanza tawi la dar es salaam wanafungua chuo
 
nipigie 0783653704 mimi nimechaguliwa pia pale na joining instruction ninayo!
 
kila la kheri wakuu. Mkasome sana acheni usharobaro huko. Haulipi.
Kitabu kwanza hayo mengine baadae mkishamaliza shule mtaona maisha yalivyo huku ughaibuni kitaa.
 
Wapigie,namba zao ni 0713757010 au 0784757010.Hizi namba ni za Dar lakini matawi yote mnaweza kupata msaada.
 
Back
Top Bottom