Wale wa SUA mkopo huu hapa

Tafadhali muliopata mkopo musiwadanganye wazazi/walezi kuwa hamjapata mkopo ili mupewe hela mara mbili.Hiyohela ni ndogo usinunue vitu ambavo si muhimu sana

Nunua laptop inayopokea wifi usinunue smartphone.

Hongereni tena

kwa mkopo wakwanza nnaweza kununua machine kweli
 
Tafadhali muliopata mkopo musiwadanganye wazazi/walezi kuwa hamjapata mkopo ili mupewe hela mara mbili.Hiyohela ni ndogo usinunue vitu ambavo si muhimu sana

Nunua laptop inayopokea wifi usinunue smartphone.

Hongereni tena

Loohhh...dunia ya sasa ilivokuwa integrated hivi asiwe na smartpphone jmn...khaaaaaa...watu wengine huwa natafakariii weeee siwaelewagi kbs
 
mara ya kwanza unapewa 650...weka 300 kando likitoka la pili chukua 100...plus na ile ya mwanzo unakua na 450...kanunue mashine

kwahiyo mpakato mzuri ni wa 450 ...labda ntajie model nfwatilie info zake kama inafaa

name Mara zinazo fwata unapewa ngapi?
 
We wa muhas acha mtero,nenda tu na direct cost na utakuwa registered
 
Wauza simu na wenye GESTI morogoro watatengeneza hela sana wiki hizi mbili vijana wakishapata pesa maana kila mtu ataanza mbwembwe
 
bora wameanza kutoa, kwan tumbo lilikuwa limeshachemka tayari kwa kudrive, basi na vyuo vingine mjitahidi kutoa ili watoto wa wakulima tujipange. HESLB oyeeeee.
 
Kupitia hili la sua ina maana majina ya wote walio pata mkopo yapo tayari ila wana bhna kutoaaa sas kwa mwendo huu tutafika wanasubiri kusujudiwa au hivi hawaoni kuwa vyuo vimefungua na vingine ving ni jmosi haww jamaa wana maana ganiiu au wana jua wale walio wanyima mkopo.wana chuma hela kama majaniii.....daaaa ina sikitisha sanaaa.....den kupitia sua tujifunze kitu kuna kozi sijaona alie pata mkopo pale kama nakosea mtani sahihisha `urban and rural development sijaona kama kuna mtu kapata mkopo hata ile 0% sasa watu wa kozi za design hii ina maana gani kwao kwa vyuo vingne kama nimekosea mniambie ila mm naona kuna kitu cha kujifunza kwa zile kozi zetu za mfano wa urban an rural development.......ila HESLB wana boa....tujifunze kitu hapoo
 
sasa hii falsafa ya mwaka huu ya TCU name heslb sijui ndo nini kutoa chuo kimojakimoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…